Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1588505080798.jpeg
 
Medical Store Department wamejaa wapigaji.
Hata kwenye janga hili la korona wanapiga hela kupitia sanitizer.
Acha aingie mjeda awanyooshe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mifumo ni ile ile hakuna kitakachobadilika. Mtu mmoja hawezi kuishinda system. Ona hata Jiwe anavyohangaika. Walaji atawakuta atajaribu atashindwa na ataondoka na kuwaacha wakiendelea kula tu....
 
Back
Top Bottom