moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kama mifumo ni ile ile hakuna kitakachobadilika. Mtu mmoja hawezi kuishinda system. Ona hata Jiwe anavyohangaika. Walaji atawakuta atajaribu atashindwa na ataondoka na kuwaacha wakiendelea kula tu....Medical Store Department wamejaa wapigaji.
Hata kwenye janga hili la korona wanapiga hela kupitia sanitizer.
Acha aingie mjeda awanyooshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada kubainika wanapata maambukizi tumeamua kuwanunulia barakoaView attachment 1439108
Sent using Jamii Forums mobile app
Wandali na Wanyakyusa wataua mtu dadeki [emoji16][emoji16][emoji16]yaani wasijaribu kufika kwenye maparachichi kabisa [emoji23][emoji23]