Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hujambo jirani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheiiii jiraniiii
Papai ili ili lenye corona!!!PAPAI NI DAWA: ZIFAHAMU FAIDA KUMI NA NANE ( 18 ) ZA MTI WA MPAPAI
Watu wengi hulitumia tunda la papai kwa sababu ya utamu wake.
Hata hivyo mbali na kuwa na ladha nzuri, tunda la papai lina faida lukuki kwa afya ya mwanadamu.
UTAJIRI WA VITAMINI
Tunda la papai lina vitamini A,B,C,D, na E jambo linalo liweka tunda hili katika kundi la matunda na vyakula vyenye utajiri mkubwa wa vitamin.
Shikamooo jiraniiiHujambo jirani?
umesha piga nyungu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katumbuliwa mtu kisa papai ujuePapai ili ili lenye corona!!!
Marahaba 😂 😂 😂 jirani na nguo haifai....Shikamooo jiraniii
Nimeshapiga bana alone na manguo tele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiMarahaba 😂 😂 😂 jirani na nguo haifai....
Na nguo tena?Shikamooo jiraniii
Nimeshapiga bana alone na manguo tele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imagine ulikunywa soup ya mbuzi aliyekula papai na huyo mbuzi kabla ya kuchinjwa alikuwa kafungwa chini ya mfenesi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katumbuliwa mtu kisa papai ujue