Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Mh
Mh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] its over wa kishua kwa mbaaali utasikia parapanda zikiliaImagine ulikunywa soup ya mbuzi aliyekula papai na huyo mbuzi kabla ya kuchinjwa alikuwa kafungwa chini ya mfenesi
Ooh! Ushakuja 😂😂
Wakulima wote poleni sana
Mwenyezi Mungu awaponye wagonjwa wote...
Natamani hapa pangekuwa WhatsApp nikutumie sticker ya wakulungwa 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] its over wa kishua kwa mbaaali utasikia parapanda zikilia
Mungu atupe afya na uzima....
Jioni iwe njema na yenye amani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sticker za watsup zinachekeshaNatamani hapa pangekuwa WhatsApp nikutumie sticker ya wakulungwa 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nalima mpunga na mcheleWakulima wote poleni sana