Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndege ndogo ya mizigo iliyosheheni vifaa tiba vya msaada imeanguka na kuua watu sita nchini Somalia
FB_IMG_1588686887924.jpeg
 
Klabu ya Simba ya D'salaam imekamata Barakoa zilizotengenezwa kwa logo ya klabu hiyo na wafanyabiashara wajanja wa mjini.
Taarifa ya msemaji wa klabu hiyo Haji Manara inasema Simba haijatengeza Barakoa hizo hivyo baada ya uchunguzi wa polisi kukamilika hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watu hao
FB_IMG_1588687051159.jpeg
 
Matatizo yanafanya tuwe na uzoefu na tukomae. "Kila, tatizo ni zawadi bila matatizo tusingekua," alisema Anthony "Tony" Robbins (alizaliwa Februari 29, 1960) wa Marekani, mwandishi wa vitabu vya kutia matumaini na hamasa.
 
Mtoto anapojifunza kusimama anaanguka mara nyingi lakini anakomaa. "Tatizo si kwamba kuna matatizo. Tatizo ni kutegemea vinginevyo na kufikiria kwamba kuwa na matatizo ni tatizo," alisema Theodore Isaac Rubin (alizaliwa April 11, 1923) mtunzi wa vitabu wa Marekani.
 
Maneno hayo hapo juu ni maneno ya Fr. Faustin Mwikila Kamugisha aliyoyoaandika kwenye kitabu chake cha Matizo si tatizo: Matatizo ni Daraja. Ni kitabu kizuri kinachoelimisha na kufungua akili kuhusu namna tunavyoyatizama matatizo.
 
Mwandishi wa kitabu hiki amebobea sana katika uandishi na ameandika vitabu vingi vikiwemo, hatupangi kushindwa tunashindwa kupanga, Umevaa miwani gani: maji yakimwagika yanazoleka, make the most of every opportunity na vingine vingi
 
Back
Top Bottom