Nimejiuzulu nyadhfa zangu zote ndani ya chama hicho.
CHADEMA imenipa udhamini lakini wananchi wa Momba ndiyo walionichagua kuwawakilisha, lazima niwa wakilishe.
David Silinde
Andrea Ivanova msichana mwenye umri wa miaka 22 raia wa Bulgaria ndiye mwanamke mwenye lips kubwa Duniani kuliko wote.
Mwanamke huyo alichomwa sindano 20 za acid ya hyaluronic ili kuongeza ukubwa wa lips zake