carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Yaani nimenunaje mtani?Unashangaa bado nafanikiwa kukuquote tuuπππ
Mods shikilieni hapo hapo!!
Aisee16. Mbegu za papai zina uwezo wa kutibu homa. Meza mbegu za papai kiasi cha kijiko cha chakula mara 3 kwa ajili ya kutibu homa.
SawasawaMatatizo ni Ufunguo wa Mafanikio.
Tunaendelea kuyazalisha hata kama yanapata maambukiziPoleni wakulima..mvua bado zipo
SawasawaMatatizo ni Mawimbi Katika Bahari Ya Maisha.
Auntiee, kama unacho hicho kitabu naombaa.Hii ni kwa Sababu matatizo na changamoto havina mwenyewe; humkuta kila binadamu aliye bado hai hapa duniani.
πππππππYaani nimenunaje mtani?
Napata notification eti umeni quote ilhal nimekuweka kwenye kapu.