Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji123][emoji123]Tena wengine walishindwa zaidi ya mara moja, lakini hawakukata tamaa, waliendelea kujaribu mpaka walipoona matokeo.
Nipo najipanga yaan sitatumia kitufe cha undo[emoji123][emoji123]
Najua hutoshindwa na ile dalmax(checkers)[emoji13][emoji2088]
Sawasawa...Maisha yetu yanapojaa matatizo uwa tunatufuta nani mchawi. Tunafuta nani ambaye anasababisha matatizo tunayopitia.
👍 👍Angalia mambo unayofanya na marafiki ulionao, je vinakupeleka kwenye ndoto yako?
Kweli...Ukweli ni kwamba watu wote unaowaona wamefanikiwa leo, kwa namna moja au nyingine kuna sehemu kwenye maisha yao walishindwa.
Aisee...Marehemu Masumbuko Lamwai na Kihiyo wake.
View attachment 1441492