Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inasemekana ni kinara wa biashara haramu ya meno ya tembo na madini...Pesa za kumwaga halafu...
464822616_418369.jpg
 
Tajiri mkubwa kwenye eneo hilo.
Amezaliwa huko, amesomea huko.
Huwa anaomba kura kwa kisukuma huyo jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu na libunge langu Joka Makengeza wana pesa ndefu sana hakuna wa kuwatoa kwenye ubunge mpaka wachoke wenyewe tu. Labda hii skendo itamwondoa huyu mwamba...Siasa ni mchezo mchafu sana !!!
 
Back
Top Bottom