Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

465039252_419541.jpg
 
Hao ndio wanaotoa silaha kwa ujambazi iweje ukae na silaha nyingi hivyo, kwa kivip,

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kujua, huenda ni mfanyabiashara ya utalii na hivyo silaha zote zikawa zinatambulika kisheria.
Sidhani kama mbunge mwenye heshima kama yeye anaweza kuwa jangili, sidhani
Siamini
FB_IMG_1588781680999.jpeg
 
Kama kweli wamemkuta na nyara za serikali atakuwa na wakati mgumu, lakini nijuavyo wafanyabiashara wengi kwenye sekta ya utalii wana nyara nyingi za wateja wao ambazo zimeshalipiwa na umiliki wake unatambulika kisheria.
Suala hili nadhani mahakama ndiyo itakayosema kweli
Huyu na libunge langu Joka Makengeza wana pesa ndefu sana hakuna wa kuwatoa kwenye ubunge mpaka wachoke wenyewe tu. Labda hii skendo itamwondoa huyu mwamba...Siasa ni mchezo mchafu sana !!!
 
Huwezi kujua, huenda ni mfanyabiashara ya utalii na hivyo silaha zote zikawa zinatambulika kisheria.
Sidhani kama mbunge mwenye heshima kama yeye anaweza kuwa jangili, sidhani
SiaminiView attachment 1441872

Sent using Jamii Forums mobile app
Zingekuwa zinatambulika kisheria wasimgemkamata,Mbunge mwenye wadhifa ukiona hadi Walimwengu tunajua kuna tatizo katika kumiliki.
 
Back
Top Bottom