Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni mbunge wao wa CCM. Yatamalizika kimya kimya hata mahakamani yanaweza yasifike. Na huyo mkuu wa polisi utashangaa anahamishwa....Kama kweli wamemkuta na nyara za serikali atakuwa na wakati mgumu, lakini nijuavyo wafanyabiashara wengi kwenye sekta ya utalii wana nyara nyingi za wateja wao ambazo zimeshalipiwa na umiliki wake unatambulika kisheria.
Suala hili nadhani mahakama ndiyo itakayosema kweli