Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa nini nakuambia changamoto ni chanzo cha utajiri hebu jiulize leo hii pale unapoishi ukaona kuna changamoto ya kupata machine ya kusaga inawezekana watu wanaipata hiyo huduma kijiji cha pili na wewe ukachukua uamuzi wa kutoa hiyo huduma hapo na mwisho watu wakaipata hapo karibu unadhani huwezi kuwa tajiri kwa kutatua changamoto zilizo katika jamii yako.?