Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200505_195751.jpg
 
Fuata hatua hizi ili uishi wewe. 1: Ishi wewe. Nina Maana gani hapa wengi tunaishi kwa kufuata fulani anaishi vipi ndipo na wewe uige ndiyo Maana utamkuta mtu akiona fulani amefungua duka la mafuta na yeye anaanzisha hapo hujaishi wewe umeishi yule fulani hivyo huna budi kubadilika uishi wewe.
 
Basi kwa vile huishi wewe na umeamua kuuliza na tayari uaminifu wako uko hapo kwa asilimia mia na tayari amekwambia huwezi basi wazo lako hapo litakuwa limekwisha huwezi kujaribu ten na ndoto yako itakuwa imeishia hapo sababu ni nini hukuishi wewe bali umeishi fulani.
 
Back
Top Bottom