Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwenye App unamuona kama ignored japo huwezi kuona jina lake wala post zake. Ila ukibofya hapo kwenye ignored unaweza kuona post zake ukalaiki na hata kumkwoti...na kama ulishawahi kuwasiliana naye bado anaweza kukuPM kama kawaida...Labda huko kwenye app huku kwenye browser ukimpiga ignore humuoni