Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Tunawachunguza wabunge wetu waliokiuka utaratibu tuliokubaliana wa kugomea vikao vya bunge ili kujilinda na corona, tukiwabaini tutawachukulia hatua kali sana" -- CHADEMA
FB_IMG_1588614455131.jpeg
 
Mitandao ya kijamii na watumiaji hai (Active) wengi zaidi kwa mwezi, Data kwa Dunia mpaka kufikia Aprili, 2020.
1. Facebook- 2.4M
2. YouTube- 2M
3. WhatsApp- 2M
4. Fb Messenger- 1.3M
5. Weixin/weChat- 1.1M
6. Instagram- 1.0M
7. Douyin/ Tik Tok- 800K
8. QQ- 731K
9. Qzone- 517K
10. Sina Weibo- 516K
Chanzo: Statista
 
Vyuo vyenye heshima/Ushindani zaidi katika soko la ajira.
1. MIT
2. Stanford University
3. University Of California, Los Angeles
4. The University Of Sydney
5. Harvard University
6. Tsinghua University
7. The University Of Melbourne
8. University Of Cambridge ...
 
Back
Top Bottom