Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Barakoa za upasuaji (surgical masks) hizi zinapaswa kuvaliwa na watumishi wa afya ambao hawana direct contact na wagonjwa. Barakoa hizi pia zinaweza kuvaliwa na jamii kwenye maeneo ya mikusanyiko kwa muda wa masaa 4-6. hizi hazipaswi kuvaliwa kutwa nzima na kurudia matumizi