Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The_Hurricane_Heist.png

Cc: mahondaw
 
Yaan huku napata notification kabisa ukiangalia ni member uliye mblock
Aaaggrrr😡😡😡😡😡
Duh aiseee halafu hadi mtu umuweke ignore basi kakukasirisha viibaya mno. Au mwenzeru huwa na ligi za chini chini?natamani kuziona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama notifications tu zinawatoa jasho haya mengine sidhan kama watawezarekebisha
 
Sinaga ligi mimi bhana 😂😂😂

App inazingua sana wakati mwingine
 
Hili suala huwa linapigiwa kelele sana sijui kwa nini hawalichukui kwa uzito unaostahili. Inakera sana yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mods wanazingua sana na hii option maana haina maana kama mtu umemuweka kwenye hilo kapu halafu ana like na ku quote comments zako.
Waweke block kama ile ya whatsapp
Moderator hii option ya ignore/block muiangalie vizuri.
Haileti maana mtu unamu ignore halafu anaweza kuku quote
 
Back
Top Bottom