Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464824354_344399.jpg
 
Mchezaji wa zamani wa Barcelona Seydou Keita ametoa msaada wa chakula kwa familia za wananchi waliojizuia nyumbani 'Lockdown' kwenye mji wa BAMAKO.
Mchezaji huyo ametoa kwa kila familia Kiroba cha unga, mchele, sukari na mafuta ya kula ambayo yote kwa jumla vina thamani ya sh milio 100.

Kwa niaba ya waafrika namshukuru Seydou Keita kwa msaada huo kwa ndugu zake huko Mali .
Waafrika wengine wenye uwezo waige ukarim huuView attachment 1440021
Kafanya jambo la baraka.
 
Back
Top Bottom