Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanawake wengi wakibembelezwa na wapenzi wao huwa na viburi na kujiona wao wanawazidi wenzao kwa uzuri. Mwanaume kaa ukijua unavyokaa na mwanamke tabia zake zitakuwa hivyohivyo usije ishia kujuta badaae wakati umemlea hivyo sababu wanawake ni kma watoto wachanga.
 
JE WAJUA: Asili Ya Wananchi Wa Visiwa Vya Fiji Ni Tanganyika? Inakadiriwa Kuwa Katika Karne Ya Kumi Watu Waliokua Wakiishi Tanganyika Wakiongozwa Na Mfalme Zasumba Walisafiri Mpaka Visiwa Vya Fiji Na Kuweka Makazi Ya Kudumu, Fiji Ni Nchi Iliyopo Karibu Sana Na Nchi Ya Australia!!
 
Muda iliyochukua kwa mitandao hii kufikisha watumiaji bilioni moja.FB- Miaka 8 na miezi 8WhatsApp- 8 na miezi 6YouTube- 8 na mwezi 1Instagram- 7 na miezi 8WeChat- 7 na mwezi 1Messenger- 4 na miezi 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…