Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Deni la Taifa Marekani limefikia shilingi Kwadrilioni 57.5, Kwa kiasi kikubwa deni hilo linatoka kwa wananchi wake wenyewe au Serikali. Japan, China, Brazil, UK, Ireland ni baadhi ya nchi zinazoidai pia Marekani, China inaidai Marekani zaidi ya Kwadrilioni 2.5.Kwadrilioni 1= Shilingi Trilioni 1,000.
 
Mauzo ya simu kwa robo ya kwanza mwaka 2020.

1. Samsung- 59M

2. Huawei- 49M

3. Apple- 40M

4. Xiaomi- 29.7M

5. Oppo- 22.3M

6. Vivo- 21.6M

7. RealMe- 7.2M

8. Lenovo- 6M

9. LG- 5M

10. Tecno- 4.6M

Chanzo: teknokona

M= Milioni
 
Je, wajua?

Mwezi mei kwa kila mwaka ni mwezi maalum kimataifa kwaajili ya kujichua (Punyeto). Ilianza mwaka 1995, Wanaharakati hutumia mwezi huu kwaajili ya kusambaza elimu zaidi kuhusu umuhimu wa watu kufanya hivyo.

Chanzo: HuffPost, Sfist
 
1A896A6C-8DC2-484D-BC31-C01495E3E7E5.jpeg
 
Back
Top Bottom