Deni la Taifa Marekani limefikia shilingi Kwadrilioni 57.5, Kwa kiasi kikubwa deni hilo linatoka kwa wananchi wake wenyewe au Serikali. Japan, China, Brazil, UK, Ireland ni baadhi ya nchi zinazoidai pia Marekani, China inaidai Marekani zaidi ya Kwadrilioni 2.5.Kwadrilioni 1= Shilingi Trilioni 1,000.