Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Klabu ya Newcastle itatumia pauni milioni 70 kumsajili mchezaji wa nafasi ya kiungo wa Barcelona, raia wa Brazil Philippe Coutinho ikiwa pendekezo la klabu hiyo kununuliwa litafanikiwa. Mchezaji huyo mwenye miaka 27 anaichezea Bayern Munich kwa mkopo. (Mundo Deportivo - in Spanish)
 
Kampuni ambayo inaelekea kuwa wamiliki wapya wa Newcastle pia inataka kumsajili beki wa kati wa Napoli na Senegal Kalidou Koulibaly, 28. Mchezaji huyo anatarajiwa kuondoka kwenye klabu hiyo ya Italia kwa kitita cha pauni milioni 69.8. (Sky Sports via Star)
 
Arsenal wanaweza kupewa nafasi ya kumsajili mshambuliaji wa Inter Milan Mauro Icardi, 27, ikiwa ni mbadala wa mshambuliaji Pierre- Emerick Aubameyang, 30. Mkataba wa Aubameyang unatarajiwa kumalizika msimu ujao, wakati Icardi anacheza kwa mkopo Paris St-Germain. (Tuttosport via Teamtalk)
 
[emoji23][emoji23][emoji23] JF raha sana
Kuna watu wanakula bata hii dunia mpaka basi. Unaambiwa viyoyozi mpaka kibarazani. Hata sijui kinayoyoza nini [emoji16][emoji16][emoji16]

Screenshot_20200508-095221~2.jpg
 
Back
Top Bottom