Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwakweli ni ngumu, maana viongozi wa kiroho na kisiasa wanaondoka sana wiki chache hizi
Najiuliza tu kuhusu masheikh. Hawa ni sawa na madaktari bingwa. Kama sikosei inachukua miaka mingi sana ya kujisomea mpaka kuimudu sawa sawa hiyo taaluma na karama zake. Hawa wakongwe wanapoondoka hivi nadhani ni pengo kubwa sana aisee.
 
Nakuombea Molla Akujalie siku moja ufikishe huo umri bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante sana bro, hakika Mungu atanifanyia wepesi nami nifike huko mlikofika[emoji120][emoji120]...

Uzima upo lakini bro?

Huku ni kwema tunaendelea vizuri kwa kiasi flan taharuk imeanza kupungua sasa tofaut na mwanzo mgen alipoingia!!
 
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru nimeziona tawala zote za nchi hii nikiwa na akili timamu


Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia. Mungu ni mwema sana kwa sababu nikiangalia wenzangu niliokuwa nao primary/O'level/A level na kuendelea waliotangulia mbele ya haki wanazidi 30. Mimi nina wema gani mpaka sasa nipo nadunda? Nikiona tawala zingine mbili zijazo baada ya JPM itakuwa poa sana. Mungu Aendelee kutulinda kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Asante sana bro, hakika Mungu atanifanyia wepesi nami nifike huko mlikofika[emoji120][emoji120]...

Uzima upo lakini bro?

Huku ni kwema tunaendelea vizuri kwa kiasi flan taharuk imeanza kupungua sasa tofaut na mwanzo mgen alipoingia!!

Utafikisha umri kama huo wa Mzee Mwinyi na zaidi bro. Huku kwema sana na Mungu Anasaidia. Huyu mgeni itabidi kumzoea tu kwa sababu hakuna namna; na inavyoonekana hana hata haraka ya kuondoka. Ni kupambana naye kwa mbinu zo zote huku tukitegemea ulinzi wa Molla [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…