myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee...Maofisa wa Tanzania wakipokea shehena ya dawa ya kutibia COVID 19 toka Madagascar View attachment 1443845
Aisee...Maofisa wa Tanzania wakipokea shehena ya dawa ya kutibia COVID 19 toka Madagascar View attachment 1443845
wewe mzee acha kutudanganya....njaa ya karume unaikumbuka?
Asante Mkuu, huku kwenye vilima vya Kisarawe kilimo cha majani kinaendelea[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Wakulima poleni sana
Mungu awaponye wagonjwa wote..
Mungu atukinge na corona...
MhKorona itashindwaaa !!!
View attachment 1443905
Hahah! Kuna kitu nisichoona sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe uliona
Hili cheko lako la ngazi ngazi umelizindua lini? 😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1443857
Amin broUtafikisha umri kama huo wa Mzee Mwinyi na zaidi bro. Huku kwema sana na Mungu Anasaidia. Huyu mgeni itabidi kumzoea tu kwa sababu hakuna namna; na inavyoonekana hana hata haraka ya kuondoka. Ni kupambana naye kwa mbinu zo zote huku tukitegemea ulinzi wa Molla [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Dada tena??[emoji2]Sawa dada mpambaji [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu jamaa huwa ni comedy tosha, halaf yeye hana habar kabsa, anaona kawaida tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hasa pale watu wanapomshangaa akifanya tukio utaona eti alilia sana au alishangaa mpaka miwani ikataka kumdondoka