Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Leo unacheka tu π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah
Nilitaka uje utetee hojamke wangu alikuwa ni mjamzito ndio maana nimeadimika.......hivi ndio nini kuniunganisha kwenye thread zinazowakejeli watu wa pwani?
Amani itawale usiku wetu
Usiku uwe mwema kwetu wooote
Hili cheko lako la ngazi ngazi umelizindua lini? [emoji16]
RIP Shekhe, alikuwa msomaji mzuri wa Quran