Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuvimba kwa kuta za tumbo pamoja na makovu yasababishwayo na vidonda hivi huweza kusababisha kuziba kwa njia ya kupitishia chakula kutoka kwenye tumbo (stomach) kwenda sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo (duodenum) hali ambayo kitaalamu huitwa gastric outlet obstruction.
 
IMG-20200511-WA0002~2.jpg
 
“Kamati Kuu CHADEMA imeazimia Wabunge Anthony Komu na Joseph Selasini pamoja na kuwa wamejipotezea sifa ya uanachama wa CHADEMA, wameendelea kutoka kauli za kejeli, kashfa na kukiuka maagizo ya Chama, hivyo Chama kimeazimia kuwafukuza uanachama” -John Mnyika, Katibu Mkuu CHADEMA
•
“Mbunge David Silinde na Wilfred Rwakatare sio tu wamekiuka agizo la Chama bali wamekuwa wakijitokeza kwenye vyombo vya habari kutoa maneno ya kashfa na kejeli dhidi ya maagizo ya Chama na Viongozi wa Chama, Kamati Kuu CHADEMA imefikia uamuzi wa kuwafuta uanachama”- MNYIKA
•
“Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Mariamu Msabaha, ameshiriki kukiuka maagizo ya Chama, ilitakiwa awe mfano na kwakuwa amekwenda kinyume, amevuliwa nafasi zake zote ndani ya Chama na kubaki na Ubunge na atatakiwa ajieleze kwanini asichukuliwe hatua zaidi kwa kukiuka maagizo”-MNYIKA
•
“Kuhusu Wabunge wengine ambao wamekwena kinyume na maagizo ya Chama lakini hawajaonesha utovu wa nidhamu kwa kutoa kashfa kwa Chama, watatakiwa wajieleze kwanini wasichukuliwe hatua zaidi kwa kukiuka maagizo” -MNYIKA
#MillardAyoUPDATES
 
Hiki chama upuuzi mtupu udikteta sana. Tukiwapa nchi tutakoma zaidi ya tunavyokomeshwa na kijani kibichi. Natamani iwepo kipengele cha katiba ya mgombea binafsi
 
Ukienda kununua laini ya simu kwenye kale ka kikasha wanapoitoa line kuna namba(PIN na PUK) maana yake sasa mpaka kwenda kuisaka google
Asante kwa ufafanuzi. Siku hizi kweli umekuwa mpole yaani mpaka siyo poa. Ingekuwa zamani lazima ungenizodoa tu.

Stay safe. Stay blessed [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom