Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
PUK ni nini Esta? [emoji16][emoji16][emoji16]Kama simu yako inahitaji PUK, piga 100 sikiliza maelekezo chagua 5 (Kwa masuala ya kadi ya simu) kisha 1 (kwa maombi ya PUK), fuata maelekezo. Ni Rahisi Tu!
Kaondoka bado kijana sana. Kifo hiki we acha tu. RIP Kamanda/Ostaadh [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji120][emoji120]View attachment 1446896
Ukienda kununua laini ya simu kwenye kale ka kikasha wanapoitoa line kuna namba(PIN na PUK) maana yake sasa mpaka kwenda kuisaka googlePUK ni nini Esta? [emoji16][emoji16][emoji16]
Hiki chama upuuzi mtupu udikteta sana. Tukiwapa nchi tutakoma zaidi ya tunavyokomeshwa na kijani kibichi. Natamani iwepo kipengele cha katiba ya mgombea binafsi“Kamati Kuu CHADEMA imeazimia Wabunge Anthony Komu na Joseph Selasini pamoja na kuwa wamejipotezea sifa ya uanachama wa CHADEMA, wameendelea kutoka kauli za kejeli, kashfa na kukiuka maagizo ya Chama, hivyo Chama kimeazimia kuwafukuza uanachama” -John Mnyika, Katibu Mkuu CHADEMA
•
“Mbunge David Silinde na Wilfred Rwakatare sio tu wamekiuka agizo la Chama bali wamekuwa wakijitokeza kwenye vyombo vya habari kutoa maneno ya kashfa na kejeli dhidi ya maagizo ya Chama na Viongozi wa Chama, Kamati Kuu CHADEMA imefikia uamuzi wa kuwafuta uanachama”- MNYIKA
•
“Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Mariamu Msabaha, ameshiriki kukiuka maagizo ya Chama, ilitakiwa awe mfano na kwakuwa amekwenda kinyume, amevuliwa nafasi zake zote ndani ya Chama na kubaki na Ubunge na atatakiwa ajieleze kwanini asichukuliwe hatua zaidi kwa kukiuka maagizo”-MNYIKA
•
“Kuhusu Wabunge wengine ambao wamekwena kinyume na maagizo ya Chama lakini hawajaonesha utovu wa nidhamu kwa kutoa kashfa kwa Chama, watatakiwa wajieleze kwanini wasichukuliwe hatua zaidi kwa kukiuka maagizo” -MNYIKA
#MillardAyoUPDATES
Asante kwa ufafanuzi. Siku hizi kweli umekuwa mpole yaani mpaka siyo poa. Ingekuwa zamani lazima ungenizodoa tu.Ukienda kununua laini ya simu kwenye kale ka kikasha wanapoitoa line kuna namba(PIN na PUK) maana yake sasa mpaka kwenda kuisaka google
Chama cha mtu mmoja hicho. Lakini ndiyo demokrasia. I hate politicians !!!Hiki chama upuuzi mtupu udikteta sana. Tukiwapa nchi tutakoma zaidi ya tunavyokomeshwa na kijani kibichi. Natamani iwepo kipengele cha katiba ya mgombea binafsi
Njema kabisa, mfungo unaendeleaje?Huku kwema bro, habari za huko