Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20200512-083015.jpg
 
millardayo Takwimu za corona kutoka Magascar zinaonesha hakuna mgonjwa mpya aliyeripotiwa kuongezeka kwa zaidi ya siku tatu sasa, bado idadi ya imaambukizi imebaki ileile 225 huku wagonjwa waliopona pia wakibaki walewale 101 kwa zaidi ya siku tatu pia na hakuna kifo cha corona.
•
Tanzania imepokea msaada wa dawa za kufubaza corona kutoka Nchi hiyo na sasa zinafanyiwa utafiti NIMR ili kujiridhisha kisayansi kama zinafaa kutumika.
 
Mungu Asaidie dawa hii ifanye kazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom