Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sawasawa...3: Nishati ya mwili: Mwili unapopungikiwa maji, hukufanya ujisikie mchovu, hivyo kwa kunywa maji ya kutosha daima utakuwa mwenye nguvu. Pendelea kunywa maji badala ya vinywaji baridi kama soda, juisi au bia.
Hahaha hii sikuwa nmeiona bro.... Acha tu mzee mwenzake,ramadhan hii npo TA.. Draft kama lote[emoji2][emoji2]Salama kabisa bro.Tunamshukuru Mungu.
Vipi?Kama unaadimika vile.... Umenikumbusha ile safari ya Tanga.Au ndio tunafuturu TA??[emoji3][emoji3][emoji3]
Mungu Asaidie dawa hii ifanye kazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]millardayo Takwimu za corona kutoka Magascar zinaonesha hakuna mgonjwa mpya aliyeripotiwa kuongezeka kwa zaidi ya siku tatu sasa, bado idadi ya imaambukizi imebaki ileile 225 huku wagonjwa waliopona pia wakibaki walewale 101 kwa zaidi ya siku tatu pia na hakuna kifo cha corona.
•
Tanzania imepokea msaada wa dawa za kufubaza corona kutoka Nchi hiyo na sasa zinafanyiwa utafiti NIMR ili kujiridhisha kisayansi kama zinafaa kutumika.