Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

afande: kwa nini hujavaa mask
mkenya: nipo ndani ya gari, kuna umuhimu gani wa kuvaa mask.

afande: hata kama upo ndani ya gari kwa usalama wa afya yako unapswa uvae mask muda wote.
mkenya:kwani condom inavaliwa muda wote?

afande: endesha gari pole pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…