myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku unakua mkubwa
Asubuhi jamaa alianza kwa kuweka herufi za alfabeti yote na kuzirudia rudia. Alipochoka akahamia kwenye namba. Namba moja mpaka akafika karibia 300 huko. Ilibidi tumwachie uwanja peke yake. Halafu kuangalia mtu mwenyewe kajiunga leo leo. Naona mpaka mods walipokuja kumkanya na kufuta posts zake zote ndiyo akatulia [emoji16][emoji16]
Mnaishi kwa kubahatisha bahatisha tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Yajayo yanafurahishaView attachment 1448547