Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii nayo kali....
Screenshot_20200513-040020~2.jpg
 
Kumbe walimtoa,nilidhan alichoka mwenyewe
Asubuhi jamaa alianza kwa kuweka herufi za alfabeti yote na kuzirudia rudia. Alipochoka akahamia kwenye namba. Namba moja mpaka akafika karibia 300 huko. Ilibidi tumwachie uwanja peke yake. Halafu kuangalia mtu mwenyewe kajiunga leo leo. Naona mpaka mods walipokuja kumkanya na kufuta posts zake zote ndiyo akatulia [emoji16][emoji16]
 
Ha
Nadhani walimtoa kwa sababu hata post zake zote zilipotea ghafla bin vuu wakati niko bado nataipu. Nafikiri alikuwa ni yule mzee anayepambana na uzi wake kule akijijibu na kujiongelesha mwenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahhahaha daah yule bado anavuta pumzi aanze kujimwagia likes kama zote
 
Back
Top Bottom