myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kwamba hujalala kabisa au ulilala ukashtuka?Duh! Saa 10 kasoro dk 3. Usingizi hata tone hakuna...
Sikio la kufa. Washauri twanawa mikono siye [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hiyo njia ya kupima ndio tatizoHii nayo kali....
View attachment 1448816
Kabisa kabisa yaani....
Haya buana me sipo huko yakikuta![emoji1787][emoji1787][emoji1787] mhaya hapana, labda nikose msukuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapimaje kwani?
Wahaya wana matatizo gani? Hutaki Range Rover wewe na shopping za Dubai na Italy Korona ikiisha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mhaya hapana, labda nikose msukuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Asubuhi jamaa alianza kwa kuweka herufi za alfabeti yote na kuzirudia rudia. Alipochoka akahamia kwenye namba. Namba moja mpaka akafika karibia 300 huko. Ilibidi tumwachie uwanja peke yake. Halafu kuangalia mtu mwenyewe kajiunga leo leo. Naona mpaka mods walipokuja kumkanya na kufuta posts zake zote ndiyo akatulia [emoji16][emoji16]
hahahahahahhahahahaSijakosea. Nataka aachane na Wasukuma afokasi na likes tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Nadhani walimtoa kwa sababu hata post zake zote zilipotea ghafla bin vuu wakati niko bado nataipu. Nafikiri alikuwa ni yule mzee anayepambana na uzi wake kule akijijibu na kujiongelesha mwenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe walimtoa,nilidhan alichoka mwenyewe
Hahahhahaha daah yule bado anavuta pumzi aanze kujimwagia likes kama zoteNadhani walimtoa kwa sababu hata post zake zote zilipotea ghafla bin vuu wakati niko bado nataipu. Nafikiri alikuwa ni yule mzee anayepambana na uzi wake kule akijijibu na kujiongelesha mwenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah, nimemwona mahali pia.
Nilikua najiuliza yule bidada anaweza kuwa wa kabila gani?😀😀Ndiyo. Inapita Tabora, Shinyanga na kuishia Mwanza. Kuna nini? [emoji36][emoji36][emoji36]
Salama kabisa bro. Huko kwako vipi?Yeah, nimemwona mahali pia.
Salama bro?
Dah !!!Nilikua najiuliza yule bidada anaweza kuwa wa kabila gani?[emoji3][emoji3]
Naweni na sabuni kabisa korona inaua [emoji16][emoji16]Sikio la kufa. Washauri twanawa mikono siye [emoji2221][emoji2221][emoji2221]