Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zlatan Ibrahimovic amezichezea klabu sita ambazo zimeshinda Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya lakini yeye mwenyewe binafsi hajawahi kushinda kombe hilo. Mshambuliaji huyo amewahi kuzichezea timu za Ajax, Barcelona, Inter Milan, Juventus, AC Milan na Manchester United
 
Wanaopenda mtindo huu wa kulala wengi hufanya kazi katika idara za usafirishaji na huwa kawaida ya kukoroma sana. Ni mtindo unaotumiwa sana na vijana ambao huchelewa kulala na kupenda kuwahi kuamka.

EXtfJv0X0AoszYH.jpg
Chanzo: RD
 
Back
Top Bottom