Kuwa na mpango wa pili (Plan B) hufanya mpango wa kwanza (Plan A) kuwa na nafasi ndogo zaidi ya kufanikiwa. Wanasaikolojia wanasema unapokuwa unafikiria kuhusu kushindwa na kuwa na mpango wa pili matamanio ya kufikia malengo yako hupungua zaidi.
Deni la Taifa Marekani limefikia shilingi Kwadrilioni 57.5, Kwa kiasi kikubwa deni hilo linatoka kwa wananchi wake wenyewe au Serikali. Japan, China, Brazil, UK, Ireland ni baadhi ya nchi zinazoidai pia Marekani, China inaidai Marekani zaidi ya Kwadrilioni 2.5.