Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wale wanaoamini kuwa dunia ni tambarare hawatakubaliana na wewe. Utaambiwa hizi ni propaganda tu za mabeberu waendelee kuitawala dunia [emoji16][emoji16][emoji16]Dunia inaonekana hivyo ukiwa mwezini View attachment 1450228
Wale wanaoamini kuwa dunia ni tambarare hawatakubaliana na wewe. Utaambiwa hizi ni propaganda tu za mabeberu waendelee kuitawala dunia [emoji16][emoji16][emoji16]
Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare - JamiiForums
Siku za usafi Jumatatu na Jumatano. Tena shati unalitia na bluu kabisa. Hali ilikuja kuwa ngumu wakati wa uhujumu uchumi sabuni zikaadimika watoto wakawa wanafua kwa kutumia majani ya mpapai na asali mashati meupe hayatakati sawasawa. Siku hazigandi wallahi !!!Wahenga mpo[emoji23][emoji23]View attachment 1450238
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siku za usafi Jumatatu na Jumatano darasa la saba A ndo zilikuwa zangu hizi. Tena shati unalitia na bluu kabisa. Hali ilikuja kuwa ngumu wakati wa uhujumu uchumi sabuni zikaadimika tukawa tunafua kwa kutumia majani ya mpapai na asali mashati meupe hayatakati sawasawa. Siku hazigandi wallahi !!!
(Andaeitini msitie neno hapa. Haya ni mazungumzo ya watu wazima) [emoji16][emoji16][emoji16]