Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vijana acheni kutaka mafanikio ya haraka.

Trust the process! Hamna unalopitia ambalo ni bahati mbaya..amini katika safari yako na uongeze juhudi..lakini ISHI KWENYE UHALISIA... wa yanayo wezekana kwa nafasi na mazingira yako.

Too many youngins stressing over the ‘gram life’
 
IMG-20200514-WA0035.jpg
 
Kusini mwa Malawi, Wanaume hukodiwa na kulipwa kufanya mapenzi na mwanamke aliyetoka kufiwa na mme wake kwa kile kinachodaiwa kuondoa mikosi na roho chafu katika familia nzima. Tamaduni hiyo inaitwa "Fisi" na wanaume hao huitwa "Mafisi.
Wasena- Wanapatikana Mlanje na Tcholo, wanaume huolewa na kuishi kwenye himaya ya (mke) ukweni. Ni wachawi sana ila wanawake hawana wivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uhujumu uchumi ulituhujumu sana asee,
Siku za usafi Jumatatu na Jumatano darasa la saba A ndo zilikuwa zangu hizi. Tena shati unalitia na bluu kabisa. Hali ilikuja kuwa ngumu wakati wa uhujumu uchumi sabuni zikaadimika tukawa tunafua kwa kutumia majani ya mpapai na asali mashati meupe hayatakati sawasawa. Siku hazigandi wallahi !!!

(Andaeitini msitie neno hapa. Haya ni mazungumzo ya watu wazima) [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom