Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
KULENI KONOKONO MUWE NA AFYA NZURI JAMANI.🤣🤣🤣🤣🤣🤣 [emoji125]
Hili dude kulikurong'onyoa tu nyama za ndani ni utamu tosha,yaani mtu unashiba kabisa...FAIDA 6 MUHIMU ZA MDUDU KONOKONO AMBAZO ULIKUWA HAUZIJUWI.
Konokono ni moja kati ya viumbe wenye mwendo wa taratibu sana duniani, tofauti na hilo zipo jamii ambazo wanakula nyama ya Konokono na jamii nyingine hazitaki hata kuamini kwamba kuna watu kwenye dunia hii wanakula Konokono.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hili dude kulikurong'onyoa tu nyama za ndani ni utamu tosha,yaani mtu unashiba kabisa...
Nime ya miss maisha ya ulaji konokono mwee!!!
View attachment 1450319
Sent using Jamii Forums mobile app
Prisca,unaongelea konokono gani tena?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KULENI KONOKONO MUWE NA AFYA NZURI JAMANI.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko huu mwezi si ulisema hauwazi mara mbili[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]ni kale ka mdudu ka bahariniPrisca,unaongelea konokono gani tena?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ankoo... jiheshimu [emoji23][emoji23][emoji23]Hili dude kulikurong'onyoa tu nyama za ndani ni utamu tosha,yaani mtu unashiba kabisa...
Nime ya miss maisha ya ulaji konokono mwee!!!
View attachment 1450319
Sent using Jamii Forums mobile app
🤗🤗 ulinyimwa kutumia simu? Mana umeadimikaabee🤗
AiseeMtindo wa namna unavyopenda kulala ni kielelezo tosha cha namna tabia yako ilivyo, mfano mtindo unaouona hapo wataalam wanasema watu wa namna hiyo hupenda ushirikiano na huwa waaminifu zaidi.Chanzo: RDView attachment 1450158