myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sana...ndefu sanaMaisha ni safari !!!
View attachment 1450170
Sana...ndefu sanaMaisha ni safari !!!
View attachment 1450170
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Huu ugali umenikumbusha makopa a.k.a mbute ukiziona na rangi za ajabu mara nyeusi au nyekundu katikati unaweza usitamani ila onja sasa tamuuu
Sawasawa1: Usiposalimia wakubwa asubuhi unapigwa
Kweli2: Usiposalimia wageni unapigwa
Sawasawa jirani..konokono....kono...ko..oKULENI KONOKONO MUWE NA AFYA NZURI JAMANI.🤣🤣🤣🤣🤣🤣 [emoji125]