Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MJUE MR. P MZEE WA MIAKA 101 ALIYEZALIWA KIPINDI CHA MLIPUKO WA UGONJWA WA MAFUA YA HISPANIA KISHA AKAPONA CORONA
Alizaliwa mwaka 1919 katika mji wa Rimini kaskazini masharik mwa bahari ya Adriatic
Kipindi anazaliwa ndio kulikuwa na mlipuko wa mafua ya Hispanic yaliouwa mamilion ya watu zaid ya watu million 50 lakin yeye hakufanikiwa kuyapata
Pia alipigana Vita ya pili ya dunia
Na wiki iliyopita alipatwa na ugonjwa wa corona na sasa amepona licha ya kuwa ugonjwa huo umeua maefu ya watu nchini Italy wengi Wao wakiwa wazee
 
JE UNAJUA KUWA LOVE BITE INAWEZA KUKUUA??
Kwa wale wenzangu na mimi ambao ni wageni katika masuala haya ya masaptasapta ninaweza kuwaelezea kidogo kuhusu love bite kwa namna nilivyosoma 🤣🤣
Love bite ninaweza kuuita ni mng'ato wa kimahaba (kwa mujibu wa bwana Fact) ambapo mtu humng'ata mwenza wake kwa juujuu maeneo ya shingoni halafu kama anavyonza flan hivi 😋😋😋
Ukifanya kwa namna inavyotakiwa basi itaacha alama flan ya kama mvilio wa damu ambao huchukua kati ya siku 2 hadi wiki mbili kupotea
Sasa unajua kuwa hiyo love bite inaweza kuua mtu?
 
Back
Top Bottom