Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Umetumwa dukani mafuta ya taa ya 500 hlf unaamua kupitia sehemu unanunua barafu ya 50 kwanza.Kimbembe kinakuja dukani hawana mafuta ya taa 😀😀😀😀😀8: Ukitumwa dukani ukachelewa kurudi unapigwa
Lazima uchelewe kurudi.