Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nchini Mexico ilishawahi kutokea kwa kijana wa miaka 17 aliyejulikana kwa jina la Julio Macias Gonzalez ambaye alifariki kwa kupooza mwili kiharusi (stroke) ambapo huko kupooza kulisababishwa na love bite
Jioni ya siku hiyo Julio Macias Gonzalez alitumia akiwa na mpenzi wake mwenye umri wa miaka 24 , na alifanikiwa kurudi nyumbani salama wakati anakula mlo wa usiku na wazazi wake ndipo alipodondoka hata Msaada ulipofika alikuwa ameshafariki
Uchunguzi ulipofanyika iligundulika kuwa Julio Macias Gonzalez alikufa kwa kiharusi kilichotokana na blood clot (kwa nilivyosoma ni kama damu kuganda na kuzuia mzunguko wa damu) na kufikia kwenye ubongo wa Julio Macias Gonzalez na kupelekea kupooza huko
Lakini pia mwaka 2011 iliripotiwa kuwa mwanamke mmoja kutoka nchini New Zealand alipooza upande wa kushoto kutokana na love bite japo yeye aliwahishwa hospital na kupona kabisa
Ninachotaka kuwakumbusha mimi Bwana Fact ni kuwa hakuna kitu kinachokosa hasara kwahyo mnapokuwa kwenye masaptasapta mnatakiwa kuwa makini kwa kila jambo mnalolifanya msije mkajikuta badala ya starehe ikawa ni kesi ya mauwaji 🤣🤣🤣
Imeandaliwa na
BWANA FACT