moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wahenga wataelewa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Kwenye kuzima unaweka maji kwenye kiganja unayapigiza kwenye moto... Moshi wake sasa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Amepimia wapi?"Nimepona Corona kwa tiba ya asili"--
Mh Anna Mgwira RC KilimanjaroView attachment 1451637
😂 😂 😂 😂
😂 😂Kwa mujibu wa maelezo yake, kipimo cha mwisho amefanya jana, anasubiri majibu.
Lakini ameshapima mara 2 majibu ni negative na hiyo baada ta kutumia majani ya asili
MJ my fav of all time
Nilijaribu kuzima kwa kupuliza ule mlipuko hatari badala ya kupewa pole nikala kakipigoKwenye kuzima unaweka maji kwenye kiganja unayapigiza kwenye moto... Moshi wake sasa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app