The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
MadagascarAntananarivo.
Upo poa sweet
Kula likes kwanza maana ni kweliKila mtu ameshawahi kukwazwa kwa namna moja ama nyingine
Kitakacho kutokea tusilaumianeHahaahahaha taratibu Carba, taratibu mama. Kuna ishu nataka nizungumze na wewe.
Ongea kwa sauti ndogoMkuu siogopi ila huu upweke si mchezo.
Hapa najiuliza ubavu wangu utakuwa wapi au kuna mtu ametengeneza sumu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utakaje nalo moyo wewe kula likes kwanzaUkikwazwa una samehe?au unakaa na jambo moyoni
Hiyo ni mkubwa le mtuzi a. K. a malecelaCocochanel ndio coco beach? Au majina tu yamefanana?!
ho chi minh
Kula likes na mizigo hiyo kutunza moyoniKukaa na makwazo moyoni ni mzigo mzito sana
Jamaa anakukaba kila upitakoKitakacho kutokea tusilaumiane