ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
[emoji23] [emoji23] Aleyn mshambaKwani mshamba ni tusi mama? Mbona neno zuri tu hilo.
Asante sana kwa utambuzi wako wape hai huko uraianiNimekuelewa mkuu, avatar sio mimi, lkn huwa sina cha kuogopa, jf wengi wananifahamu kwa pm, mawasiliano mengine na hata uraiani.
Mzima lkn?
Ntapata kiwanja cha elfu 70 huko?
Hahaahahaha taratibu Carba, taratibu mama. Kuna ishu nataka nizungumze na wewe.[emoji23] [emoji23] Aleyn mshamba
gonga likes..kula likesWeekend murua
gonga likes..kula likesKuna watu nna wasi wasi sijui hata uso wamenawa leo
HahahhahaaNtapata kiwanja cha elfu 70 huko?
Yaani nimeufananisha na makapuku kwa kuwa na kurasa nyingiHapana,
Huu sio sawa na makapuku forum
Muasisi wa huu uzi
Fananisha na kasi ya ukuaji halafu toa jibuYaani nimeufananisha na makapuku kwa kuwa na kurasa nyingi