ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Nzuri mamaa,Habari yako ho chi minh
Karibu Ikwiriri mji wa maraha!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nzuri mamaa,Habari yako ho chi minh
Unaenda wapi Mkuu???Wakuu tutaonana baadae.
Weweee shindwa kumuita baby wangu mshamba[emoji35][emoji35]Hahahahaha achana na cole, mshamba tu yule.
Kula chuma
Mmh mbona sijaiona hiyo?acha nikaitafute[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kuna post niliiona usiku ISIS anakufariji,vipi ukianzia pale?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani mshamba ni tusi mama? Mbona neno zuri tu hilo.Weweee shindwa kumuita baby wangu mshamba[emoji35][emoji35]
Hapana,Khaa!! naona huu ni sawa na ule "makapuku"forum