COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Inshalah!AMUN RA
Wee unasema 70? Mimi kuna mtu nilikuwa namdai 20 akaniambia huko anakiwanja hivyo niende akanikatie eneo lenye dhamani ya hela ninayo mdai mpaka sasa sijamjibu na kila siku ananipigia cm tuende lini tukamalizaneNtapata kiwanja cha elfu 70 huko?
I can see that,hongeraI'm immortal
Sawa mkuu nimekusikiaFananisha na kasi ya ukuaji halafu toa jibu
Un mesurableIt's infinite
SemaWakuu
Hiyo prfl ndo niniLeteni habari
😀😀😀😀😀Wee unasema 70? Mimi kuna mtu nilikuwa namdai 20 akaniambia huko anakiwanja hivyo niende akanikatie eneo lenye dhamani ya hela ninayo mdai mpaka sasa sijamjibu na kila siku ananipigia cm tuende lini tukamalizane
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
MakodactaHiyo prfl ndo nini
Kutokuwepo wewe ndio hilo linatokeaThread leo imepoa mpaka inakera.
Tangu sa 11 alfajiri nipo humu leo na ISIS ila yeye muda huu sijui kaenda wapi....Kutokuwepo wewe ndio hilo linatokea
OkTangu sa 11 alfajiri nipo humu leo na ISIS ila yeye muda huu sijui kaenda wapi....