Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3) Luxembourge ndio nchi inayotoa mishahara mikubwa zaidi katika nchi za ulaya ambapo mfanyakazi analipwa EUR 1,923 kama kima cha chini ambapo ukiibadilisha kwa hela ya tanzania ni sh milion 4 na laki 8 ....lakini asilimia kubwa ya raia wake hawaishi nchini mwao bali wanaishi katika nchi za jirani kama ufaransa, ubelgiji na ujerumani....hivyo karibia nusu ya wafanyakazi hutokea nchi hizo za ujreruman, ufaransa na ubelgiji
 
Mrs Feodol Vasslyev alizaliwa mwaka 1707 Shurya nchini Urusi. Ni mwanamke aliyeshika rekodi ya kuzaa watoto wengi zaidi duniani watoto 69 na ameingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia GUINNESSAlizaa mapacha wawili Mara 16, watatu ×7 na wanne ×4
 
GAZETI MBEGU.....huko nchini Japan kuna gazeti ambalo unaweza ukalipanda kisha ukaota mti wa maua Kwahiyo unaweza ukanunua gazeti ukalisoma baadae ukaenda kulipanda kisha ukawa unalinyunyizia maji nalo litaota kama unavyopanda mbegu
 
kulikuwepo na makabila mengi yaliyoendelea kupigana kwa vita. Temujin alishiriki katika vita vingi akaendelea kuunganisha makabila mbalimbali. Tangu mwaka 1201 alikuwa na nguvu ya kutosha akashambulia mataifa ya jirani kama Watartari waliowahi kumuua baba yake na kuwashinda.
 
Mkutano huo uliazimia kuanzisha majimbo mbalimbali yaliyokuwa chini ya temujin.Alitawala kwa msaada wa mama yake,kaka zake na watoto wake,alimteua mwanaye aliyekuwa mwandishi mzuri na kumkabidhi jukumu la kiandika sheria zote za utawala wake ikumbukwe kua sheria zote zilikuwa zikitungwa na TEMUJIN.
 
Temujin alipendwa sana wa watu wa jamii yake baada ya kufanikliwa kuunganisha makabila ya wamongolia bila kuwepo na vita.Kabla ya utawala wa Temujin zamali utawala ulikua ukiendeshwa na machifu ambapo kuunganishwa kwa makabila kulifanywa kwa njia ya vita yaani kabila linaloshindwa linakuwa chini ya washindi na pia litakubaliana na sheria za watawala wao hivyo ujio wa utawala wa temujini ulikiwa kama neema kwa wanajamii wa Wamongolia
 
WANAUME MNAKWAMA HAPA

1. Chezea matiti ya mkeo, lakini usiuchezee moyo wake.

2. Ufungue moyo wa mkeo, lakini usiyafungue makovu yake.

3. Zifiche siri za mkeo, lakini usimfiche siri mkeo.

4. Yapige matatizo ya mkeo, lakini usimpige mkeo.

5. Msaidie kufanya maamuzi, lakini usimhukumu.

6. Itanue na uisambaze miguu yake, lakini usimsambazie magonjwa na maradhi ya zinaa.

7. Mtanie, lakini usimfanye kuwa kituko kwa watu wengine.

8. Cheka naye, lakini usimcheke.

9. Yanyonye matiti yake, lakini usiyanyonye maisha yake.

10. Mfanye apige kelele kitandani wakati wa mahaba, lakini usimfanye akapiga kelele kutokana na msongo na kipigo.

11. Ipoze hasira na ghadhabu yake, lakini usiikandamize sauti na maoni yake.

12. Mfanye atoe chozi la furaha, usimfanye atoe chozi la kifo cha penzi lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…