Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ELIMU; HISTORIA NA SIFA ZA ZIWA VICTORIA .
_______________________________
Ziwa hili kabla ya kuitwa Victoria, lilikuwa na majina mengi yaliyotokana na wakazi walioishi kando kando yake, mfano; Kule Uganda liliitwa "Nnalubaale" kwa lugha ya Luganda, Nchini Kenya Waluo wao waliliita "Nam Lolwe" na huku Tanzania lilijulikana kama "Nyanza" kwa lugha za makabila ya wabantu.
 
Wakati wa Ukoloni, Malkia huyu alituma wapelelezi wake kuja Afrika na ndipo Bw. John Hanning Speke na Richard Francis Burton waliamua kufanya chunguzi wa kina dhidi ziwa hili lote toka kasikazini hadi wakafanikiwa kufika katika fukwe za ng'ambo ya kusini mwaka 1858, Na wakawa ndio wazungu wa kwanza kuandika taarifa juu ya ziwa hili.
 
Baada ya uchunguzi waliwasilisha ripoti kwa Malkia ambaye ndiye aliyewezesha shughuli nzima ya upelelezi na serikali ya Uingereza ikaamua kuliita kwa jina la Victoria kama sehemu ya heshima ya kumuenzi Kiongozi huyo kama ilivyo kwa maeneo mengine yanavyopewa majina ya viongozi na watu mashuhuri.
 
3. Ziwa Victoria limegawanyika katika Nchi tatu; Tanzania, Kenya na Uganda.
Upande wa Tanzania ziwa lina ukubwa wa kilomita za mraba 33,700 sawa na 49% ya ziwa lote, Nchini Uganda ziwa lina ukubwa wa kilomita za mraba 31, 000 sawa na 45% ya ziwa lote na Nchini Kenya ziwa lina ukubwa wa kilomita za mraba 4,100 sawa na 6% ya ziwa lote.
 
Aliripotiwa kuanza safari na msafara wa meli 2000 na maelfu ya wanaume na wanawake pamoja na watumwa. Walienda na hawakurudi tena. Wengine kama vile mwanahistoria wa Marekani Ivan Van Sertima anadai kwamba waliwasili Marekani Kusini. Lakini hakuna ushahidi.
 
Mfalme huyo aliripotiwa kuondoka Mali na msafara wa watu 60,000. Alibeba ufalme wake wote na maafisa wake , wanajeshi, watumbuizaji , madereva wa ngamia na watumwa 12,000 mbali na idadi kubwa ya mbuzi , kondoo na chakula. Ulikuwa mji uliokuwa ukipitia katika jangwa.
 
Mji ambao wakaazi wake hadi watumwa wake walikuwa wamevalia dhahabu na nguo za hariri. Kulikuwa na ngamia 100 ambao kila mmojawao alikuwa akibeba mamia ya pauni za dhahabu. Utajiri huo ulionekana zaidi wakati msafara huo ulipowasili mjini Cairo ambapo ulionekana.
 
Kampuni ya kiteknolojia ya Marekani SmartAsset.com inakadiria kwamba kutokana na kuanguka kwa bei ya dhahabu, Hija ya Mansa Musa ilisababisha hasara ya $1.5bn (£1.1bn) katika uchumi wa eneo la mashariki ya kati. Alipokuwa akirudi nyumbani, Mansa Musa alpitia tena Misri na kulingana wachache akajaribu kusaidia uchumi wa taifa hilo kwa kuondoa dhahabu iliokuwepo kupitia kuiomba kwa kiwango cha juu kutoka kwa wafanyibiashara wa Misri
 
Wengine wanasema kuwa aligharamika sana hadi dhahabu alizokuwa nazo zikaisha. Lucy Duran wa Shule ya African and Oriental Studies mjini London anasema kwamba wanahistoria wa Mali walikasirishwa naye. ''Alitoa dhahabu nyingi ya Mali hali ambayo iliwafanya wanahistoria hao kutomsifu katika nyimbo zao na hadithi kwa kuwa wanaona kwamba alipoteza mali nyingi ya taifa hilo nje ya ufalme wake'', alisema.
 
Back
Top Bottom