Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Huyu wetu ni kama anataka apewe misaada tu ya pesa ndiyo waendelee kuzikula na wandogo wake wa huko state house..na wakati huu biashara za wengine zinaendelea zikiharibika tu.Kuna nchi hapa Afrika mashariki zilishashindwa vita ya corona lakini wanajitutumua angalau waonekane ni watu wa maana mbele ya mataifa mengine.
Nchi ya Uganda iliweka Lockdown siku walipopata mgonjwa wao wa kwanza tu.
Leo ina wagonjwa zaidi ya mia moja wanadai watalegeza masharti ya Lockdown.
Dalili zinaonyesha wataruhusu kila kitu siku chache zijazo hata wakipata wagonjwa 500.
Kwenye suala hili namuunga mkono mh rais Magufuli.
Magufuli ni mwanaume kamili na sio mtu wa kupakwa uchafu na vitu za uzungu ata kidogo. Nimemtabua sana kwa vile anaendeleza taifa lake na kupigana na corona.